Kwenye sehemu hii ya Kiswahili Kina Wenyewe, mwanafunzi wa shahada ya uzamifu katika Chuo Kikuu cha Mtakarifu John cha Dodoma nchini Tanzania, Shadidu Ndossa, anazungumza na Mohammed Khelef juu ya ...
Waswahili husimiliana visa na mikasa iliyopita kwenye maisha na wakati mwengine wakitumia visa vya wanyama, wadudu, miti au maumbile kuelezea sababu au asili ya kutokea jambo fulani. Kwenye wasaa huu ...